Chama kina fomu kwa ajili ya kujaza taarifa za Mwanachama anayeondoka katika Chama na pia kwa anayeingia katika Chama. Fomu hii ni hii ifuatayo;- (b) Fomu ya maelezo binafsi ya Mwanachama