TAARIFA YA UKAGUZI WA NJE

Kila mwaka Chama kinakaguliwa na Mkaguzi wa nje COASCO na ripoti kusomewa Wanachama katika Mkutano Mkuu wa mwaka.