MUUNDO WA TAASISI

Wanachama

  • Kila mwanachama anamiliki hisa moja yenye thamani ya TZS 500,000/=.
  • Kiingilio cha Uanachama: TZS 100,000/=
  • Gharama za Utawala: TZS 300,000/=
  • Ada kwa Mwaka: TZS 30,000/=