Vyama vya ushirika vya nyumba vinafanya biashara zinazokuza mapato ya wanachama ili kusaidia maisha yao na kuweka akiba kwa makazi bora.

Mwenge Housing Co-operative Society

PARTNERS

Our partners with Agriculture and Non – agricultural companies to ensure agricultural sector growth.

Mwenge Housing Co-operative Society

OUR CERTIFICATES

ltd is decorated by honor certificates provided by the government institutions

Mwenge Housing Co-operative Society

OUR ASSETS

bares physical assets located in Tanzania regions which contibute in our general income of our company.

Kuhusu sisi

  • Timu ya Wataalamu
  • Kuwajibika
Tunarahisisha upatikanaji wa nyumba bora na za bei nafuu  wanachama, kuwahimiza wanachama kujijengea nyumba bora kuishi, kuendeleza na kubuni miradi mbalimbali ya Maendeleo na kujenga moyo wa Ushirikiano na kusaidiana

What we are meant to do

We offer solutions to farmers all over the Country with our latest strategies from the day of its establishment to date

Dira na Dhima

Dira ya Chama cha Ushirika wa Ujenzi wa Nyumba Mwenge ni kuwa taasisi bora ya Ushirika wa Ujenzi wa Nyumba na uwekezaji katika rasilimali zake lengo kuu ni kuendelea kujiimarisha kiuchumi na kutoa huduma kwa wanachama sambamba na kuendeleza falsafa ya kujitangaza kitaifa na kimataifa

Dhima kuu ya CHAMA CHA USHIRIKA WA UJENZI WA NYUMBA MWENGE ni kuendelea kutafuta maeneo mapya ya Ardhi kuyamiliki, kuyapima kugawa Viwanja kwa Wanachama, kutafuta vifaa vya ujenzi wa Nyumba kwa Wanachama na kuwaelimisha namna ya kutumia vifaa hivyo kwa busara ili kuwajengea uwezo
mkubwa wa kiuchumi na maisha bora

  • Taasisi inaundwa na Wanachama ambao kila mmoja anakuwa na hisa moja yenye thamani ya Tsh. 500,000/=
  •  Kiingilio cha Uanachama TZS. 100,000/=
  • Utawala ………………………. TZS. 300,000/=
  • Ada kwa mwaka …………. TZS. 30,000/=

UWEKEZAJI

Jengo / Uwekezaji kiwanja Na. 702/46. (Mradi unaotafuta mwekezaji).
TAARIFA ZIHUSUZO KIWANJA NAMBA 702 KITALU – KIJITONYAMA DSM KWA… Lean More

Washirika wetu

buildproplus

Post comment